Peter Lijualikali

Last updated on 2017-03-31T16:06+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Peter Lijualikali said : “We discussed many things about contributions that were being deducted, there is nothing new apart from what I revealed in the parliament,” External link

theCitizen Friday, June 12, 2020 3:30:00 PM EAT

Peter Lijualikali alisema ( about Rais Magufuli ) : “Mheshimiwa Rais Magufuli na Serikali ya CCM nataka niwaambie mpo sehemu sahihi na salama, huu ujanja ujanja hautawafikisha (upinzani) sehemu yoyote, ni kujipotezea muda, huku ni sehemu ya kufanya dili zao tu,” External link

mtanzania Wednesday, June 10, 2020 10:24:00 AM EAT

Peter Lijualikali alisema : “Ndiyo tunahoji hapa, wengine wanasema mbona CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) hajaona, CAG haingii kwenye vikao vya chama na wala kujua tuliambiwa nini,” External link

mtanzania Tuesday, May 26, 2020 11:32:00 AM EAT

Peter Lijualikali alisema : “Halafu watu wengi hawajui. Hivi ni wana Chadema wangapi wanajua akaunti mama zote za chama kuwa mwamba ndiyo anayetia saini ikiwemo akaunti ya fedha za ruzuku,” External link

Peter Lijualikali alidai ( about Peter Msigwa ) : “Watu wa mwamba hawakuwahi kutoa hata Sh 100 mpaka leo, yaani Peter Msigwa na timu yake, na kama wanabisha tumuombe Spika atoe vielelezo kama ataona inafaa,” External link

Peter Lijualikali alisema : “Tunalilia katiba ya nchi wakati ya kwetu tunaivunja, leo naonekana mtu wa ovyo kwa sababu nimekataa kitu ambacho naamini ni cha uongo,” External link

mtanzania Wednesday, May 20, 2020 2:12:00 PM EAT

Peter Lijualikali alisema : “Tukipima demokrasia ndogo tu, hivi kesho tukifanya demokrasia katika nchi yetu tutafanya mangapi, wabunge wanakuja inbox mtutetee, wanashindwa kumwambia mtu ambaye hana dola kwamba unakosea mzee, hana jeshi hana polisi hana nguvu yoyote, akipewa dola itakuwaje?” External link

Peter Lijualikali alisema : “Unauliza mlisema tuweke hela kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu, unajibiwa uchaguzi ni mchakato na tulinunua magari unauliza ruzuku imefanya kazi gani unaambiwa hii ni amri ya chama,” External link

Peter Lijualikali alisema : “Mimi nipo tayari, nitarudi Ifakara nitalima mpunga nitafuga mbuzi, ng’ombe. Nitakuwa bodaboda, nitalima mchicha, mimi bado kijana, lakini siwezi kuendelea kutumika vibaya,” External link

mtanzania Tuesday, May 19, 2020 10:46:00 AM EAT

Peter Lijualikali said : “It was an order that required us to self quarantine for 14 days; however, what we asked ourselves whether by the time we return the coronavirus pandemic will be gone. And when we return do we still comeback to the parliamentary chambers to sit with people who have not been tested?” External link

theCitizen Monday, May 18, 2020 8:02:00 PM EAT

Peter Lijualikali aliuliza : “Je,Serikali ina mapango gani wa kuongeza mtandao huo,” External link

mtanzania Thursday, June 20, 2019 10:21:00 AM EAT

Peter Lijualikali amesema ( about Freeman Mbowe ) : “Sisi tulichelewa kuingia bungeni na wakati ishu inafanyika hatukuwepo, Spika alisema walioondoka wasirudi na leo tulikuwa tunasoma hotuba ya upinzani bungeni,” “Tulirudi, hasa mimi kwa ajili ya kusoma bajeti na nilirudi kwa maagizo na baraka zote za kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni (Freeman Mbowe) na alinikabidhi hotuba yetu (huku akionyesha hotuba hiyo)” External link

mwananchi Thursday, April 4, 2019 5:05:00 PM EAT

Peter Lijualikali alihoji ( about Joshua Nassari ) : “Spika anasema hana taarifa juu ya Nassari kuwa nje ya Bunge kwa kipindi alichokisema, huu ni uongo, na hata kuhusu barua ya Nassari kwake, Spika anasema haina signature (saini), hivi nataka kuuliza...barua ikiwa na Headed Paper inahitaji signature, inahitaji mhuri?” External link

habarileo Tuesday, March 19, 2019 12:07:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
mbunge100.00%SW03/30/201730/03/2017
Names Lang Count
Peter LijualikaliSW100.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Sunday, August 9, 2020

1:58:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief