Seif Sharif
Last updated on 2017-09-01T16:05+0300.

About this image

Extracted quotes from
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
maalim | 90.00% | SW | 28/08/2017 |
secretary-general | 10.00% | EN | 12/04/2017 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Seif Sharif | SW | 88.89% |
Seif Sharif | EN | 11.11% |


Tools
Wednesday, July 6, 2022
3:30:00 PM EAT
Select your languages
Explore Relations
Extracted quotes about
Frederic Clavier ameongeza
(
about Seif Sharif
)
:
“Maalimu Seif alikuwa kiongozi aliyependa amani, na aliyekuwa mstari wa mbele kupigania maslahi ya nchi yake……lakini pia alikuwa mpenda amani na alikuwa mwanasiasa makini…kwa kweli tutamkumbuka daimia, tunamuombea kwa Mungu apumzike kwa amani,”
mtanzania Thursday, February 18, 2021 10:37:00 PM EAT
John Magufuli amesema
(
about Seif Sharif
)
:
“Kuna ndoa zilivunjika kule Pemba kutokana na itikadi ya vyama baada ya uchaguzi lakini baada ya Maalim Seif kuridhia kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa zimerudi hivyo haya mambo ya vyama yasitusumbue sisi kama watanzania tunatakiwa kutanguliza maslahi ya nchi mbele”
habarileo Thursday, January 14, 2021 3:05:00 PM EAT
Salim Bimani amesema
(
about Seif Sharif
)
:
"Bado Maalim Seif na wenzake hawajaachiwa na polisi nadhani leo atalala rumande,"
mwananchi Thursday, October 29, 2020 9:47:00 PM EAT