Waziri Mkuu

Last updated on 2017-04-13T08:06+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Waziri Mkuu alisema : “Naipongeza Wizara ya Nishati, Tanesco, TECU na mkandarasi kwa kutekeleza ujenzi wa mradi huu ambao utawezesha nishati ya umeme kuwa ya uhakika,” External link

habarileo Thursday, November 19, 2020 10:49:00 AM EAT

Waziri Mkuu alisema : “Niendelee kumhakikishia kwamba matamanio yake yaliyompelekea kuleta jina hili mbele ya Bunge, matamanio yake ambayo anaamini wabunge wenzangu kwa namna mmepiga kura nyingi tunaamini nitamsaidia kazi niwahakikishie nitafanya hivyo,” External link

habarileo Friday, November 13, 2020 10:24:00 AM EAT

Waziri Mkuu alisema : "Tuko tayari kuiwasilisha kwenye mkutano wa Baraza la Rais juu ya maendeleo ya kimkakati na miradi ya kitaifa kama ilivyoombwa," External link

habarileo Thursday, November 5, 2020 5:14:00 AM EAT

Waziri Mkuu amesema : “Mchagueni DK Chinguiye kwakuwa ndio mtu sahihi katika ufufuaji wa viwanda vya eneo hili kwakuwa atakuwa na nafasi ya kuzungumza na rais pindi wawekezaji wanapokuja wilaya hii ipewe kipaumbele na wawekezaji hao” External link

habarileo Tuesday, October 27, 2020 8:08:00 PM EAT

Waziri Mkuu anasema ( about Mwalimu Nyerere ) : “Wakati huu wa uchaguzi kila mmoja anapotaka kujenga hoja yake anarejea kwenye mawazo ya Mwalimu,” External link

mwananchi Monday, October 19, 2020 6:00:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisema : "Hakuna mpango wa kuongeza maeneo ya kuwa na hali ya hatari. Serikali inajaribu kufikia muafaka kadiri iwezekanavyo. Ninataka kuwaomba mambo machache: musiharibu mali za umma wala za binafsi musifanye makosa na muhimu zaidi musiruhusu mapigano," External link

deutschewelle-sw Monday, October 19, 2020 1:24:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisisitiza : “Naupongeza uongozi wa Mkoa wa Geita kwa kufanikisha maonesho haya, ni maonesho bora na yanazidi kuimarika kila mwaka. Wito wangu kwa wachimbaji wadogo ni kwamba tumieni ujuzi mlioupata katika maonesho haya kuongeza uzalishaji na mapato kwa kutumia teknolojia bora, pia wamiliki wa leseni kubwa za uchimbaji zingatieni kuwatumia wafanyabiashara wazawa kutoa huduma mbalimbali kwenye migodi yenu,” External link

habarileo Monday, September 28, 2020 6:42:00 AM EAT

Waziri Mkuu anasema : “Utekelezaji wa miradi hiyo ya miundombinu wezeshi ya kiuchumi unalenga kufungamanisha ukuaji wa sekta hizo na sekta nyingine hususan za biashara, kilimo na utalii. Aidha, ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam-Morogoro na Morogoro-Makutupora ya Singida unaendelea vizuri na kwa kasi ya kuridhisha” External link

habarileo Friday, September 18, 2020 3:28:00 AM EAT

Waziri Mkuu alisema : "Leo (jana) natumaini ndio mwisho wa kuwa na sababu yoyote ya kusikia tena jina la gaidi huyu," External link

habarileo Friday, August 28, 2020 2:35:00 AM EAT

Waziri Mkuu alihoji : "Suala la ajira ni kilio cha wote lakini kila nchi inatumia njia yake kukabliana nayo. Je tusingekuwa na miradi ya kimkakati kama SGR na Stieglers' Gorge, hawa watu milioni sita na zaidi wangekuwa wapi kwa sasa?" External link

habarileo Tuesday, August 18, 2020 5:25:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisema : “Nimetoka Ziwa Tanganyika ambako tunapakana na Burundi, Rwanda, Zambia na Congo na serikali kwenye mkakati huu tumeingiza fedha za kutosha kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa bandari zetu. Tumeimarisha Bandari ya Kigoma pale Kibirizi, kazi imekamilika na sasa tunajenga eneo la kuweka makontena” External link

habarileo Wednesday, July 8, 2020 2:25:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisema : “jumla ya viwanda vipya 8,477 vimejengwa na kuchangia kuzalisha ajira mpya 482,601... mchango wa sekta ya viwanda katika Pato la Taifa kwa mwaka 2019 ulikua kwa asilimia 8.5 ikilinganishwa na asilimia 8.05 mwaka 2018, sawa na ongezeko la asilimia 0.45” External link

habarileo Saturday, July 4, 2020 1:03:00 PM EAT

Waziri Mkuu anasema : “Kwa namna ya pekee kabisa nitumie fursa hii kumpongeza Rais John Magufuli kutokana na fikra na uongozi makini katika ujenzi wa taifa letu Maono yake katika kuongoza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Mwaka 2015 - 2020 na mipango ya serikali, imeleta mafanikio makubwa ambayo sasa wote tunayaona,” External link

habarileo Wednesday, June 24, 2020 10:47:00 PM EAT

Waziri Mkuu amesema : ''aina zote za hali ya kutokuwepo kwa usawa.'' External link

bbc-swahili Monday, June 15, 2020 2:26:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisema : "Leo hii hakuna kesi yoyote nchini New Zealand. Tumepima karibu watu 40,000 dhidi ya COVID-19 katika siku 17 zilizopita na hakuna aliyekuwa na maambukizi. Hatuna mgonjwa hospitali wa COVID-19 kwa siku 12. Zimepita siku 40 tangu kesi ya mwisho ya maambukizi katika jamii, siku 22 tangu mtu huyo amalize hatua za kujitenga," External link

deutschewelle-kisiwahili Monday, June 8, 2020 1:44:00 PM EAT

Waziri Mkuu alieleza : ''Inaelezwa kuwa Njoroge ndiye aliyeanza mashambulizi Mocimboa da Praia tarehe 5 mwezi Oktoba mwaka 2017,'' External link

bbc-swahili Wednesday, June 3, 2020 11:11:00 AM EAT

Waziri Mkuu alisema : “Kuhakikisha kuwepo kwa vifaa vya kunawa mikono yenye maji tiririka na sabuni katika kila eneo la shule au vyuo,uongozi wa shule uhakikishe kuwa unavitakasa mikono yenye ubora unaotakiwa kwa wanafunzi na wanavyuo,” External link

mtanzania Friday, May 29, 2020 1:55:00 PM EAT

Waziri Mkuu amesema ( about Aga Khan ) : ''katika hospitali ya Amana yupo mgonjwa mmoja, Mloganzila yupo mmoja, Temeke hatuna mgonjwa aliyethibitishwa, Kairuki hakuna mgonjwa, Rabininsia hakuna mgonjwa, Regency hakuna mgonjwa, Aga Khan yuko mgonjwa mmoja, Lulanzi kibaha wapo wagonjwa 16 na Dodoma Mkonze mpaka leo asubuhi wapo wagonjwa tatu'' External link

bbc-swahili Sunday, May 24, 2020 2:40:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisema : “Endapo majaribio haya ya chanjo yatakuwa na mafanikio, tutazalisha na kusambaza hapa nchini; utafiti na maendeleo huchukua muda, na lazima yafanyike kwa usahihi, lakini hata hivyo taarifa hii inatia moyo,” External link

habarileo Monday, May 18, 2020 4:41:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisema : “Wapo watu ambao wanaambiwa wana corona lakini wakipimwa tena wanakutwa hawana,” External link

mtanzania Monday, May 18, 2020 2:14:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisema : "Waziri Mkuu kaongea jana, mimi naongea…mwanzoni (mlikuwa mnasema) kwanza watu wenyewe wachache. Sasa tumetoa (mnasema) tumeshinda nchi zote za Afrika Mashariki. Hivi tungekuwa tunaficha tungetoa takwimu hizi ambazo tunaonesha Tanzania tuna wagonjwa wengi kuliko nchi nyengine za Afrika Mashariki. Tusingetoa hizo takwimu. Kwa hiyo hakuna usiri, tunazitoa kadri tunavyozipata kutoka maabara," External link

bbc-swahili Thursday, May 7, 2020 12:09:00 PM EAT

Waziri Mkuu amesema : “Napenda kurudia tena kwa niaba Mheshimiwa Rais Dk John Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, nawashukuru Airtel Tanzania, Serengeti Breweries na Rotary Club kwa hiki mlichotupatia. Asanteni sana,” External link

habarileo Tuesday, April 28, 2020 11:01:00 AM EAT

Waziri Mkuu alisisitiza : “Ibada ni muhimu lakini pia tahadhari na usalama ni muhimu zaidi. Kama ni nyumba ya ibada ni ndogo basi na idadi ya waumini iwe ndogo na mti wa kukaa uzingatia umbali wa kila mtu usio chini ya mita moja hadi mbili. Lengo ni kuhakikisha usalama wa kila muumini,” External link

habarileo Thursday, April 23, 2020 9:40:00 AM EAT

Waziri Mkuu alisema : “Ninazo taarifa kwamba wameanzisha mfumo wa kupeleka watoto kwenye madarasa ya dini. Tumeruhusu ibada tu, na hizo ibada lazima ziangaliwe ziwe za muda mfupi kadri inavyowezekana. Tumesisitiza kwenye makanisa au misikiti ambako ibada zinafanyika, waumini wakae kwa kuachiana nafasi,” External link

habarileo Thursday, April 16, 2020 10:02:00 AM EAT

Waziri Mkuu alisema : “Serikali inatoa misitizo kwa wananchi wazingatie maelekezo yanayotolewa kuhusu kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, ikiwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka na kujiepusha na mikusanyiko isiyokuwa ya lazima,” External link

habarileo Thursday, April 9, 2020 2:07:00 AM EAT

Waziri Mkuu alieleza : “Mazingira ya uwekezaji na ufanyaji biashara vimeendelea kuimarika, nah ii inathibitishwa na taarifa ya hivi karibuni ya Benki ya Dunia juu ya Wepesi wa kufanya Biashara ya Mwaka 2020. Tanzania imepanda nafasi tatu kutoka nafasi ya 144 hadi nafasi ya 141,” External link

habarileo Monday, April 6, 2020 11:16:00 AM EAT

Waziri Mkuu alieleza : “Tunapokuwa na miongozo wa uwekezaji katika mikoa yetu inarahisisha uhamasishaji na kumvutia mwekezaji kuja nchini na kufanya uwekezaji ambao utakuwa na tija kwa taifa,” External link

habarileo Monday, April 6, 2020 10:15:00 AM EAT

Waziri Mkuu amesema : “Leo tumekabidhi magari 12 kati ya 20 hii ni kuwadhihirishia Watanzania nia ya dhati ya Rais wetu John Magufuli katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika na unakuwa uhuru kupitia NEC,” External link

habarileo Sunday, April 5, 2020 9:21:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
mbunge20.00%SW04/13/201713/04/2017
mbunge wa kigoma20.00%SW04/12/201712/04/2017
makamu wa rais20.00%SW03/29/201729/03/2017
mwenyekiti40.00%SW03/27/201727/03/2017
Names Lang Count
Waziri MkuuSW100.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Friday, December 4, 2020

10:51:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Rais Magufuli alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Ndani ya mwezi mmoja muwe tayari kutatua tatizo hilo, kama hakuna fedha kama ambavyo meneja amesema zungumza na Waziri wa Fedha au Katibu Mkuu ili kushughulikia suala hilo,” External link

habarileo Monday, October 26, 2020 7:28:00 PM EAT

Kassim Majaliwa alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Sote tunafahamu kuwa huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Sekta za kilimo, uvuvi na ufugaji ni miongoni mwa sekta za uzalishaji ambazo maendeleo yake yanategemea kwa kiasi kikubwa uongozi bora. Nchi yetu inahitaji viongozi watakaokuwa chachu ya kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi ili kuinua ustawi wa maisha ya wakulima, wafugaji na wavuvi,” External link

habarileo Sunday, August 9, 2020 2:16:00 PM EAT

Job Ndugai alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Mwenzetu ameumia, lakini nimeenda kumuona na Waziri Mkuu amemuona na Rais ameenda kumuona, tumetekeleza wajibu wetu, lakini isiingizwe siasa wakati jambo hili halipo kabisa,” External link

mtanzania Wednesday, June 10, 2020 10:24:00 AM EAT

Job Ndugai alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Waziri wa Mambo ya Ndani, Polisi watoe taarifa haraka ya kile kipande kwa sababu jamii kuirudisha katika mstari ni kazi, polisi watoke waseme,” External link

Mohammed Mchengerwa alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Tumwombe Mheshimiwa Waziri atambue na yeye ni mbunge, mamlaka aliyopewa ni ya kumsaidia tu Mheshimiwa Rais kama sisi na niombe mwongozo mwezi Novemba tutakuwa wabunge wa kawaida mpaka Rais atakapoteua Baraza la Mawaziri,” External link

mtanzania Friday, May 22, 2020 3:59:00 PM EAT

Joseph Haule alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Mwenendo wa Mkuu wa Mkoa wa Manyara na maofisa madini kuwanyanyasa na kuwatisha wafanyabiashara imeondoa kabisa morali ya biashara hii,” External link

mtanzania Wednesday, April 22, 2020 12:50:00 PM EAT

Robert Jenrick alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Waziri Mkuu Boris ataendelea na majukumu yake ya usimamizi wa serikali licha ya kulazwa hospitalini” External link

mwananchi Tuesday, April 7, 2020 10:25:00 AM EAT

AfricaBrief