Rais Uhuru Kenyatta
Last updated on 2017-08-31T19:05+0300.

About this image

Extracted quotes from
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Rais Uhuru Kenyatta | SW | 100.00% |


Tools
Sunday, July 3, 2022
8:43:00 PM EAT
Select your languages
Explore Relations
Extracted quotes about
William Ruto aliongeza
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Rais ndiye mwenyekiti wa muungano wa chama ambacho mpinzani wangu anapeperusha bendera yake. Kwa hivyo, ushindani kamili ni kati yangu na bosi wangu, huo ndio ukweli,"
tuko Friday, July 1, 2022 4:22:00 PM EAT
David Murathe alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Polisi walikuwa wasimamishe hafla hiyo, lakini Rais akasema hapana. Hakuna haja, si ataapishwa na aende kwa bibi yake. Yeye ataapishwa kama rais wa watu lakini kuna rais aliyeapishwa kikatiba,"
tuko Wednesday, June 22, 2022 6:34:00 PM EAT
Aden Duale alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Niliona mambo yanabadilika wakati wa kikao cha PG wakati tu uchaguzi ulifanyika. Lakini kwa sababu nilikuwa karibu sana na Rais, nikapuuza hilo. Lakini sasa ninaweza kuunganisha mambo hayo,"
tuko Sunday, October 3, 2021 3:03:00 PM EAT
Raila Odinga Alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Kama nataka kuwa Rais, sitahitaji Uhuru kunisaidia wala kuniunga mkono, hiyo ni uamuzi unaostali kufanywa na Wakenya, Uhuru hawezi akaniidhinisha mimi. Madai hayo ni propaganda tupu.,"
tuko Sunday, June 20, 2021 4:27:00 PM EAT
Francis Atwoli alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Sitaki kusema mengi kwa sababu kesi hiyo iko mahakamani, lakini ina imani kuwa mahakama ya Rufaa itaokoa BBI. Uamuzi uliotolewa haukuwa na lolote kuhusu BBI ila wa kisiasa na uliomlenga Rais,"
tuko Thursday, June 17, 2021 1:43:00 PM EAT
Moses Kuria alidokeza
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Ningependa kuwaambia wakazi wa Mlima Kenya kwamba mumeachwa mayatima nyinyi. Rais wetu amechukuliwa. Rais wetu ametekwa nyara,"
tuko Tuesday, June 15, 2021 8:17:00 PM EAT
Moses Kuria alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Rais wetu amevamiwa na magaidi. Rais wetu ametuacha. Hatuna baba, hatuna mama. Sisi ni mayatima. Tuko peke yetu. Tuanze kujipanga sasa,"
tuko Tuesday, June 15, 2021 8:17:00 PM EAT
Peter Munya alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Naona kuna watu wanatafuta kazi, eti sasa yao ni kuandika mabarua kumtusi Rais. Huyu akiandika leo, ule mwingine anaandika kesho mabarua, "
tuko Sunday, June 13, 2021 9:52:00 AM EAT
Raila Odinga alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Nawaomba viongozi wa mihimili mitatu ya serikali; Rais, Spika wa mabunge yote na Jaji Mkuu kuttafuta mwafaka kuhusu mamlaka yao ili kuhakikisha serikali inaendelea kuwahudumia Wakenya ipasavyo,"
tuko Saturday, June 12, 2021 5:14:00 PM EAT
William Kabogo alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Rais Kenyatta anaenda nyumbani na hapo hakuna mjadala, kama anataka kuendelea ajue hilo haliwezekani,"
tuko Wednesday, June 9, 2021 8:10:00 AM EAT
Raila Odinga alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Nimekuja hapa na ujumbe. Na ujumbe huo ni kuwa wiki ijayo tutakuwa na wageni watajika na ninataka mkaribishe Rais na kikosi chake kwa mbwembwe,"
tuko Wednesday, May 26, 2021 10:03:00 AM EAT
Francis Atwoli alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Ukiwa na shida na umwendee Rais, kama umwambia niko na jamaa au jirani ambaye ako na shida na hawawezi kumzika mpendwa wao, Rais atatoa kitambaa na kuanza kulia. Ni mtu ambaye huguswa sana ,"
tuko Saturday, May 1, 2021 5:37:00 PM EAT
Rais Uhuru Kenyatta aliongeza
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Hakuna haja ya kuleta siasa kwa mambo haya, ni kuhusu maisha yako na yale ya wakenya milioni hamsini. Tukifanya kazi pamoja tutahakikisha maisha ya watu wetu yamelindwa na pia uchumi wetu. Rais alisema yuko tayari kupoteza umaarufu wa kisasa ila alinde Wakenya kutokana na hali kama inayoshuhudiwa nchini India. Hata hivyo kila mmoja wetu akikosa kufanya analotakikana , basi mpende msipende, wajibu wangu ni kulinda maisha.Nitafanya kila linalowezekana kuzuia yale tumeona yakifanyika katika nchi zingine kufanyika humu, "
tuko Saturday, May 1, 2021 3:25:00 PM EAT
Martha Wangari alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Niliungana na Mheshimiwa Rais katika chuo cha NYS wakati wa sherehe za kufuzu kwa makurutu alfu saba,"
tuko Saturday, April 24, 2021 7:41:00 PM EAT
David Murathe alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Alikuwa anataka apewe funguo za ghala ili aweze kupata michuzi ya 2022. Wakati Rais alikataa, hapo ndipo alikasirika, "
tuko Monday, April 19, 2021 3:11:00 PM EAT
William Ruto alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Tulifanya kikao na Rais na kumuuliza iwapo nimewahi kumhujumu kwa namna yoyote, na akaniambia hakuna kitu kama hicho, "
tuko Saturday, April 17, 2021 7:41:00 AM EAT
Moses Kuria alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Alichukua hatua kali kama vile kufunga nchi wakati ambapo tulimkosoa kisiasa. Rais nakutambu sana. Ni lazima nitoe heko kwa mazuri yanayofanywa na nikosoe mabaya ,"
tuko Tuesday, March 23, 2021 2:47:00 PM EAT
Boniface Mwangi alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Rais Uhuru ni mtu wa ajabu sana. Si mwaminifu kwa watu waliomchagua na hafichi. Hawaheshimu raia na katiba. Anatuchukulia kama watumwa wake,"
tuko Sunday, March 21, 2021 4:02:00 PM EAT
Francis Atwoli alisema
(
about Rais Uhuru Kenyatta
)
:
"Sijui nani atakuwa rais 2022 lakini najua ni nani hatakuwa. Natamani DP angekuwa na washauri wazuri na pia angekuwa akiunga mkono miradi yote ya Rais Uhuru, "
tuko Monday, March 15, 2021 7:51:00 AM EAT