Ibrahim Lipumba

Last updated on 2017-09-04T13:07+0300.

About this image
License: UNKNOWN

sign

Quotes... Extracted quotes from

Ibrahim Lipumba said : "The report on the country's economic status for 2020 explains that the status of the debt has changed, where business loans have grown to 44.5 per cent of the external debt for 2019/2020 from 7.2 per cent in 2010/2011 and at the same time soft loans dropped to 55.5 per cent from 92.8 per cent in the same period," External link

BBCMonitoring Wednesday, January 5, 2022 2:05:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : "Kwa kutumia kigezo cha umasikini cha taifa, idadi ya watanzania maskini imeongezeka kutoka asilimia 26.1 mwaka 2019 na kufikia asilimia 27.2 mwaka 2020 na watanzania zaidi ya milioni 15 ni masikini," External link

deutschewelle-kisiwahili Wednesday, April 14, 2021 4:24:00 PM EAT

deutschewelle-sw Wednesday, April 14, 2021 3:53:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba noted : "We should be patient and avoid breaching the country's peace as we wait for the results," External link

allafrica Friday, October 30, 2020 3:09:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba amesema : "Nimejiandaa vizuri, pamoja na changamoto zote, nchi bado ni yetu tusiwe na tatizo. Tusubiri matokeo tusiingie katika hali ya uvunjifu wa amani, tuwe wavumilivu ujenzi wa demokrasia ni mchakato ambao unachukua muda mrefu," External link

mwananchi Wednesday, October 28, 2020 4:55:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “Nitakomesha hii tabia ya wakulima wa korosho kuambiwa eti hawatalipwa fedha zao mpaka baadaye, hii kwangu haitawezekana.Nitahakikisha wanalipwa fedha zao kwa wakati, pia ipo michango ambayo wakulima wanaambiwa na wengine wanakatwa fedha zao bila kujua, hii kwangu haitatokea, nitahakikisha nawalinda wakulima wote nchini,” External link

mwananchi Monday, October 19, 2020 1:33:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba amesema : “Bado bei ya masoko ya uhakika kwa wakulima ni changamoto hawapati bei inayopatikana kwenye masoko ya dunia, tunaomba mtuchague tuweze kuliasisi zao hili la korosho hapa Tunduru,” External link

mwananchi Sunday, October 18, 2020 12:08:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “Tabora Region has been endowed with good land on which you can grow any crop. You have been famous for tobacco but the current government has forgotten you…,” External link

theCitizen Wednesday, September 16, 2020 6:26:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba amesema : “Ili kuhakikisha kuwa kila raia ana haki na anapata huduma za msingi za afya, Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya CUF itahakikisha asilimia 70 ya Watanzania wote wana Bima ya Afya ifikapo 2025 na asilimia 100 ifikapo 2028 ” External link

habarileo Wednesday, September 16, 2020 2:50:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : "Nikiwa mwanafuzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ndio wazo hili lilibuka ambapo nchi nyingi zilitaka makao makuu yawe katikati ya nchi na mimi nilishiriki, hivyo mkinipa kura Oktoba 28, sitahamisha makao makuu, yataendelea kuwepo Dodoma" External link

habarileo Tuesday, September 15, 2020 9:58:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba said : "There are people who have been dubiously disqualified. And, in some cases, people have been attacked and their forms have been taken," External link

voanews-sw Friday, August 28, 2020 3:14:00 AM EAT

voanews Friday, August 28, 2020 3:04:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “Tutahakikisha bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ndani ya miaka 10 ijayo sambamba na kuandaa miundombinu, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote,” External link

mtanzania Thursday, July 30, 2020 4:28:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “We have statistics, but for this time we cannot print anything because by doing so would be contrary to our election regulations,” External link

theCitizen Friday, June 19, 2020 12:58:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “That is the result of the work of democracy... and as you know these people are oppressive. They don’t care about killing people. So, we must not be cowards. We need to be courageous and fight, no matter what will happen,” External link

theCitizen Monday, June 15, 2020 5:00:00 PM EAT

theCitizen Monday, June 15, 2020 4:29:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “Without the polls being rerun in the whole Zanzibar, my party and I will also not recognize the president to be obtanined without the people’s consent because we will regard that particular president as a military ruler,” External link

theCitizen Wednesday, June 10, 2020 6:32:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “You know, it is not easy for the opposition to get one presidential contestant because it has so many aspirants. However, it is easier for opposition par-ties to get separate presidential aspirants by a committee to be formed to screen them well and ultimately obtain the right presidential flagbearer of the opposition,” External link

theCitizen Monday, June 8, 2020 11:38:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “Kwa mfano idadi ya walioandikishwa Jimbo la Konde, ni 4,331, ukilinganisha na wapiga kura 9,299 walioandikishwa uchaguzi wa mwaka 2015, Jimbo la Wete mwaka 2015 walioandikishwa walikuwa 8,574,mwaka huu hadi sasa wameandikishwa 3,597,” External link

mtanzania Monday, March 9, 2020 8:44:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba said : “Those of us who were old enough to take part in the independence movement of this country know that never in its entire history as a nation Tanzania has experienced a more thuggish election than this [civic elections],” External link

theCitizen Saturday, November 16, 2019 11:06:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “kwa vyama vya upinzani hali ni tete na ni ngumu. Tumezoea kuwa kueleza sera, kueneza sera na kuvutia wanachama kujiunga na chama hutegemea mikutano ya hadhara lakini kwa sasa sasa hairuhusiwi,” External link

mwananchi Wednesday, September 25, 2019 1:22:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alidai : “Kama polisi wana sababu ya kupinga mkutano huo, watakupa utaratibu na kukueleza ni lini unaweza kufanya mkutano huo. Lakini ukiandika barua polisi, unaambiwa Rais amekataza mikutano ya hadhara,” External link

Ibrahim Lipumba amesema : "Kazi yenu kubwa ni kujipanga kuweza kushinda, mnapaswa kujua maeneo yenu, mnapaswa kuzijua sheria na kanuni za uchaguzi. CCM wana mfumo wa 4.4.2, mkilala tu wanatangazwa bila kupingwa," External link

mwananchi Sunday, September 15, 2019 5:12:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “People bought farms during privatisation and used their tittle deeds to get loans from local and foreign bank for agriculture but the money were diverted to businesses which had nothing to do with agriculture, economically this is unfair,” External link

theCitizen Wednesday, July 17, 2019 4:04:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “We will be holding public meetings because it is not illegal and we ask police and other state organs not to block us,” External link

theCitizen Thursday, June 27, 2019 3:33:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “As a nation, we can’t achieve the projected industrialisation dream, if the agricultural sector continues to remain undeveloped. The sector offers a number of opportunities for the farmers and the whole nation,” External link

theCitizen Saturday, June 22, 2019 7:09:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “I would also like to advise the President to embrace democracy. It is not too late to do so, there is still a room for improvement,” External link

Ibrahim Lipumba amesema : “Chama hiki kinapigwa vita na vyama vingine (anavitaja) ambavyo vinajikita katika maeneo yetu kuwashawishi wabunge na viongozi wengine wajiunge na vyama vyao,” External link

jamiiforums Saturday, June 8, 2019 7:16:00 PM EAT

mwananchi Saturday, June 8, 2019 5:06:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : "Kimsingi hakuna tena majadiliano, serikali yetu itoe tu ridhaa ili ripoti ichapishwe," External link

bbc-swahili Friday, May 10, 2019 5:23:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “Kwa kuzingatia hali ya jumuiya zilivyo sasa, nateua makaimu wenyeviti na makamu wenyeviti na makaimu katibu watendaji na manaibu wao katika jumuiya zote za chama watakaoratibu na kukamilisha uchaguzi wa jumuiya za chama,” External link

mtanzania Monday, April 29, 2019 10:10:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba said : "Preventing the report is tantamount to shooting yourself in the foot. We, as ordinary members of the public, are the ones who are prevented from reading it. MPs, particularly during this time of budgetary session, are supposed to read that report," External link

theCitizen Wednesday, April 24, 2019 3:32:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba insisted : "The government has the report, IMF has it too, the US has it, China has it too and Germany as well. If they hold it up, others know about its content. Let them allow its publication and if there is something that they disagree, they will explain," External link

Ibrahim Lipumba amesema : “Wafanyabiashara wadogo wakubwa wote wako hoi taabani hivi sasa jambo ambalo linasikitisha kwa nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania,” External link

jamiiforums Sunday, April 14, 2019 12:14:00 PM EAT

jamiiforums Sunday, April 14, 2019 3:25:00 AM EAT

mwananchi Saturday, April 13, 2019 8:37:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema ( about Seif Sharif ) : “Si kweli wanaosema kuwa asilimia 90 ya viongozi wa matawi ya CUF wamehamia ACT. Hizo ni propaganda za Maalim Seif,” External link

mwananchi Monday, March 25, 2019 9:43:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba amesema : "Sitaki kusikia habari zake, mimi na yeye finish (kwisha)" External link

mwananchi Tuesday, March 19, 2019 5:24:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : “We had already fired him from his position as party secretary general,” External link

theCitizen Monday, March 18, 2019 7:04:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “Sitaki kusikia kuna kijiji, kitongoji au mtaa tunakosa mgombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na 2020 tuunde Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakayoongozwa na CUF,” External link

mtanzania Thursday, March 14, 2019 11:29:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba amesema : “Nitafanya nao kazi, wengi wao wameulizwa kushika nafasi hizo jana na leo wameshiriki na wameshinda,” External link

jamiiforums Thursday, March 14, 2019 12:23:00 AM EAT

mwananchi Wednesday, March 13, 2019 8:17:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba amesema : "Niliongea na jamaa ninaowafahamu. Mimi ni mtu mzito siwezi kukwambia nimeongea na nani. Wewe unapopiga simu nakuuliza yakhe uliongea na nani?" External link

mwananchi Tuesday, March 12, 2019 6:04:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “Leo imedhihirika. Hata alipokuja yule mganga wa Nigeria (nabii TB Joshua), kukutana nao kwa nyakati tofauti niliwahi kusema suala hili. Leo Watanzania watakuwa mashahidi kwa Lowassa kurejea,” “Lowassa amerudi CCM bila aibu wakati (mwenyekiti wa Chadema, Freeman) Mbowe bado yupo gerezani. Hakufikiria wenzake anawaachaje” External link

mwananchi Saturday, March 2, 2019 9:30:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “Pale hakuna mshindi, si sisi wala wao (CUF upande wa Maalim)” External link

mwananchi Wednesday, February 20, 2019 10:42:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba asked : "That committee meeting is null and void because its chair and the party's secretary general, Seif Shariff Hamad is out of the country and even the one who was supposed to act on his behalf, deputy secretary general Magdalena Sakaya didn't attend the meeting. On top of it, I the chairman, am not aware of the said meeting, in that context how can we say the meeting was properly convened?" External link

allafrica Monday, September 26, 2016 3:59:00 PM EAT

allafrica Monday, September 26, 2016 1:44:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba told : "The decision determined that I could return to my position as party chairman. I, therefore, wrote a letter to notify the party's secretary that I would be assuming my position on August 10. The secretary did not oppose my decision," External link

allafrica Monday, September 26, 2016 9:35:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba said : "according to information circulating in the media, President Magufuli and Mr Kitwanga are close friends. But judging from this decision, the head of state has shown that he really means business in his determination to restore discipline in the public service" External link

allafrica Thursday, June 2, 2016 12:14:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : “Kura ya maoni kufanyika Aprili 30 ni kitendawili kwani muda uliobaki, kwa Tume haiwezi kumaliza kuandikisha nchi nzima” External link

mwananchi Saturday, March 7, 2015 10:56:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba said ( about Mizengo Pinda ) : "We ask the government to deploy enough money in the exercise of Voter Registration in the permanent Register which was launched at Makambako on Tuesday by Prime Minister Mizengo Pinda," External link

allafrica Friday, February 27, 2015 5:56:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba said : "Many Tanzanians have not been educated on the BVR system. We need more time," External link

Ibrahim Lipumba alisema : “Kwanza, Nec haina watumishi wa kufanya kazi ya uandikishaji. Mshauri mwelekezi kutoka Marekani aliishauri tume kuwa inahitaji kuwa na watumishi 10,000 ili kufanikisha uandikishaji nchi nzima na wapewe mafunzo ya kina ya kutumia mashine hizo” External link

mwananchi Thursday, February 26, 2015 9:35:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba said ( about Mizengo Pinda ) : “We ask the government to deploy enough money in the exercise of Voter Registration in the permanent Register which was launched at Makambako on Tuesday by Prime Minister Mizengo Pinda,” External link

in2eastafrica Thursday, February 26, 2015 1:51:00 AM EAT

Ibrahim Lipumba said : “Many Tanzanians have not been educated on the BVR system. We need more time,” External link

Ibrahim Lipumba said : "Many Tanzanians have not been educated on BVR system, we need more time," External link

thepeninsulaqatar Friday, February 13, 2015 6:34:00 PM EAT

afp-en Friday, February 13, 2015 5:06:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba affirmé : "Nous avons besoin de plus de temps" External link

afp-fr Friday, February 13, 2015 4:40:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema ( about Mathias Chikawe ) : “Kuna tatizo kubwa, kuna ombwe la uongozi. Kama Serikali kupitia kwa Chikawe inadiriki kusema uongo bungeni, ni hatari na mimi ninawaambia kuwa kila mwaka, tutaadhimisha mauaji hayo yaliyotokea Zanzibar (Januari 26 na 27 mwaka 2001)” External link

jamiiforums Sunday, February 1, 2015 12:24:00 PM EAT

Ibrahim Lipumba alisema : "Hawa jamaaa hawana nia njema na sisi, hapo walipo wanamipango ya kuumiza watu wengine, hivyo inatakiwa tutawanyike turudi makwetu hadi tutapokutana kwenye mkutano wa adhara siku ya Jumapili kwenye viwanja vya Manzese," External link

wavuti Wednesday, January 28, 2015 8:45:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
profesa59.14%SW09/04/201704/09/2017
professor6.45%EN09/04/201704/09/2017
mwenyekiti0.86%SW08/03/201703/08/2017
mwenyekiti wa chama0.22%SW08/03/201703/08/2017
prof1.29%SW05/26/201726/05/2017
chairman25.38%EN05/07/201707/05/2017
leader3.23%EN11/11/201611/11/2016
chairperson0.43%EN09/13/201613/09/2016
politician0.43%EN06/10/201610/06/2016
candidate1.51%EN10/31/201031/10/2010
rival0.43%EN12/20/200520/12/2005
president0.65%EN11/02/200502/11/2005
Names Lang Count
Ibrahim LipumbaSW42.99%
Ibrahim LipumbaEN41.61%
Ibrahim LipumbaFR8.05%
Ibrahim LipumbaEU7.36%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Thursday, August 11, 2022

2:13:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Abdul Kambaya anasema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Hivi kwa unavyomjua Profesa Lipumba ana njaa sana mpaka awe tayari kutumiwa na Serikali au kufanikisha mipango yake? Huo ni utoto,” External link

mwananchi Saturday, November 16, 2019 4:55:00 PM EAT

Abdul Kambaya anasema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Nafikiri ni suala la uelewa tu. Kama umekuwa ukifuatilia kwa karibu utagundua kwamba kumekuwa na juhudi kubwa za kumchafua Profesa Lipumba kwa kutunga kila aina ya ‘propaganda.’ Watu wamekuwa wakiziamini ‘propaganda’ hizi na hii ni bahati mbaya sana kwamba uwezo wa kufikiri wa hao wanaoziamini ndiyo umeishia hapo,” External link

Abdul Kambaya said ( about Ibrahim Lipumba ) : “I think it’s just a matter of understanding. If you have been paying attention, you will see that a massive vitriolic propaganda has been directed at Prof [Lipumba] which, unfortunately, some people have believed it and their thinking does not go beyond that.” External link

theCitizen Saturday, November 16, 2019 11:06:00 AM EAT

Magdalena Sakaya alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Kwa taarifa yako wengi wa wabunge wamesharudi katika chama. Mfano kina Bobali (Hamidu-Mchinga), Ngombare (Vedasto-Kilwa Kaskazini) tumeshakaa nao vikao vya chama,” “Wakati wa mgogoro waliyumba kimsimamo, lakini sasa wamesema wanafuata maamuzi ya mahakama (kumtambua Profesa Lipumba kuwa mwenyekiti)” External link

mwananchi Monday, April 8, 2019 10:58:00 AM EAT

Magdalena Sakaya alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Niwasihi wanachama wa CUF na Watanzania kwa ujumla waache kusikiliza habari zisizoeleweka zinazozungumzwa huko mitaani na kwenye mitandao ya kijamii,” “Chama kipo imara chini ya Profesa Lipumba na tunasubiri bodi ianze kazi mara moja kukipeleka mbele zaidi” External link

mwananchi Saturday, March 9, 2019 10:38:00 AM EAT

Abdul Kambaya alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Ah! Wanaohoji Profesa Lipumba kutoa fedha CUF ni wajinga tu, kwani mara ngapi Profesa kakisaidia chama? Kwani wakati chama kinafanya kampeni mwaka 1995 wakati huo chama hakikuwa na ruzuku walihoji hilo? Ndiyo, nasema huo ni ujinga tu, hoja zao za kipuuzi puuzi tu, Profesa si mtu wa kushindwa kuwa na Sh milioni 30, 40 hata 50,” External link

mtanzania Sunday, October 23, 2016 12:43:00 PM EAT

Julius Mtatiro alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Tunamshangaa Msajili wa Vyama vya Siasa kuendelea kumwandikia barua Lipumba, huku akijua kufanya hivyo ni kosa, kwa sababu wenye mamlaka ni bodi ya wadhamini,” External link

mtanzania Tuesday, October 11, 2016 9:47:00 AM EAT

Freeman Mbowe alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Bwana yule (Profesa Lipumba) mtakumbuka alikimbia chama chake wakati kinamhitaji. Ni kama mzazi anayeikimbia familia yake wakati wa matatizo akitegemea itateketea, halafu ikaibuka vizuri, basi anataka kujisogeza ili kujitambulisha kwa matunda yaliyopatikana CUF chini ya Ukawa,” External link

mwananchi Sunday, October 2, 2016 6:22:00 AM EAT

Tundu Lissu alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Alienda Rwanda sijui kufanya utafiti, lakini mwaka mmoja baadaye nafsi yake ilimsuta tena akaona uenyekiti wake haujafa bali ulizimia tu, aliona uenyekiti haujawa marehemu karudi, kwa kifupi ya Profesa Lipumba yasiwasumbue wanachama wa CUF wala sisi hayatusumbui yanawasumbua hao waliomtuma tu,” External link

mtanzania Saturday, September 10, 2016 11:18:00 AM EAT

Tundu Lissu alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Profesa Lipumba anaposema Chadema ina njama ya kuibomoa CUF takwimu zikoje na hali ilikuwaje kabla ya Ukawa, hali ikoje baada ya Ukawa, hoja ya Profesa inaonyesha jinsi gani msomi huyo alivyoanguka kifikra hata task tu za kawaida hazioni,” External link

Tundu Lissu alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Ukawa ambao Lipumba aliuanzisha baadaye akausaliti, CUF kilipata wabunge kumi Bara wa majimbo miaka mingine yote haijawahi kutokea, kama Chadema ingekuwa inaibomoa CUF katika uchaguzi wasingepata kabisa ama kingepata pungufu ya viti walivyokuwa navyo awali lakini kwakuunganisha nguvu wakapata matokeo mazuri,” External link

Abdul Kambaya alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Mimi nilipigwa baada ya kuamua kumtetea Profesa Lipumba, nchi hii mtu akiamua kutuchinja atafanya na aliyenipiga spana kichwani (alipigwa kichwani na kushona nyuzi nane) namfahamu na kwa kuwa alikusudia kuniua basi na akashindwa sasa namweleza tutakutana mtaani,” External link

jamiiforums Sunday, February 1, 2015 12:24:00 PM EAT

James Mbatia charged ( about Ibrahim Lipumba ) : “Prof Lipumba cooperated with the police but the latter used unnecessary force to deal with the protestors,” External link

in2eastafrica Thursday, January 29, 2015 10:45:00 AM EAT

James Mbatia déclaré ( about Ibrahim Lipumba ) : "Lipumba a été maltraité, la police a usé de la force de manière excessive, employant des gaz lacrymogènes... Lipumba et beaucoup d'autres personnes ont été frappés" External link

afp-fr Wednesday, January 28, 2015 6:36:00 PM EAT

Simon Sirro alisema ( about Ibrahim Lipumba ) : “Wanachama 32 akiwemo Profesa Lipumba tunawashikilia katika kituo cha Polisi Kati kwa kufanya maandamano ambayo hayana kibali, wote wapo hapa tunaendelea kuwahoji,” External link

mwananchi Wednesday, January 28, 2015 1:32:00 PM EAT

AfricaBrief