Philip Mangula

Last updated on 2015-03-09T19:08+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Philip Mangula alisema : “Adhabu zitakazochukuliwa ni onyo miezi sita. Adhabu nyingine ni onyo kali litakalodumu kwa miezi 18, adhabu ya tatu, ni karipio. Adhabu zote hizi zitasababisha mhusika kutokujishughulisha na siasa. Adhabu hizo zitatolewa kwa kila mjumbe wa kamati husika,” External link

mtanzania Thursday, February 27, 2020 11:33:00 AM EAT

Philip Mangula alisema : “Kila wanaCCM tunapokutana, agenda yetu ihusu maandalizi ya Uchaguzi Mkuu. Tuhamasishane, ili kila mwanachama asikose kushiriki uchaguzi ujao,” External link

Philip Mangula alisema : “Kuna vimbelembele wanaopita huko kabla ya muda, hao hatutakuwa na huruma nao,” External link

mwananchi Sunday, February 9, 2020 3:57:00 PM EAT

Philip Mangula amenukuliwa : "Tumepanga kuwahoji kwa siku moja kila mmoja, lakini utaratibu unaweza kubadilika kulingana na maelezo atakayotoa mhusika. Kama tutaona siku moja haitoshi, atarejea tena siku inayofuatia," External link

bbc-swahili Thursday, February 6, 2020 10:19:00 PM EAT

bbc-swahili Thursday, February 6, 2020 12:43:00 PM EAT

Philip Mangula anasema : “Jana (Desemba 30, 2019) alikuja yeye mwenyewe hapa nyumbani kuniletea miche ya parachichi, nami ni mkulima wa zao hili na huyu kijana amekuwa mwalimu mzuri na mfano,” External link

mwananchi Monday, January 20, 2020 3:48:00 PM EAT

mwananchi Monday, January 20, 2020 12:05:00 PM EAT

Philip Mangula says : “On December 30 last year, he (Nemes) personally came to my home. He brought me avocado tree seedlings. I am also growing avocados; he inspired me,” External link

theCitizen Monday, January 20, 2020 11:17:00 AM EAT

Philip Mangula said : "Decisions on candidates that the party is nominating to contest in the forthcoming general elections should be kept secret until the time for making the names public," External link

xinhuanet_en Sunday, January 19, 2020 7:37:00 PM EAT

Philip Mangula warned : "Punitive measures will be taken against leaders or members of the party who are implicated in leaking its secrets," External link

Philip Mangula alisema : “Mnapokuja kwenye mafunzo hapa chuoni nataka mfute kabisa mawazo ya tunajifunza ili tukaajiriwe, hapa ni sehemu ya mafunzo ya kubadilisha fikra na mitizamo ya kwamba, kusoma ni kuajiriwa,” External link

mtanzania Friday, December 20, 2019 9:09:00 PM EAT

Philip Mangula alisema : “naombeni kutunza siri za vikao hasa tunapojadili majina ya watu, mtaleta mgongano” External link

mwananchi Saturday, December 14, 2019 12:48:00 PM EAT

Philip Mangula anasisitiza : “Kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu kuficha siri za kinachojadiliwa kwa faragha ni muhimu ingawa kunahitajika kifua maana inawezekana ukasema utajitahidi kutunza siri lakini ukajikuta unatoa bila kujua, tunzeni siri,” External link

Philip Mangula anasema : “Muwashangae wanaoshangaa ushindi wa kishindo wa CCM, upande wa wenzetu walifanya makosa ya kisheria na ndio maana wakashindwa,” External link

Philip Mangula anahoji : “Tukigundua tu tunafungua faili na siku moja mtaitwa, muda wa kampeni bado hata mchezo wa ngumi una sheria zake mnangoja refa aseme, refa wa CCM bado hajapiga filimbi kuanza mchezo kiherehere cha nini?” External link

Philip Mangula Amesema : “Watu wa Zimbabwe wameonewa kiasi cha kutosha na sasa tunaazimia kuwa uonevu huo ufike mwisho,” External link

mwananchi Thursday, October 24, 2019 4:01:00 PM EAT

Philip Mangula amesema ( about Afrika Mashariki ) : “Kwa tamko hili tunaweka msisitizo na kupitia kwa Serikali za Tanzania, Sadc na Afrika Mashariki (EAC) kwamba ifike wakati Umoja wa Afrika uchukue nafasi yake na kusimamia haki za wanachama ambao wanaendelea kuonewa kwa nguvu za kibeberu na ukoloni mamboleo,” External link

Philip Mangula amesema : “Ni miaka 19 ya kuwekewa vikwazo hata wale ambao walikuwa hawajazaliwa wanaadhibiwa na vikwazo hivi nadhani huu sio ubinadamu, sambamba na kutekeleza maamuzi hayo CCM kwa nafasi yake ya kuwa chama kiongozi wakati wote wa kulikomboa Bara la Afrika kisiasa inatumia nafasi hii kupaza sauti na kushinikiza mataifa yote yaliyoiwekea vikwazo Zimbabwe kuviondoa bila masharti yoyote ili nchi hiyo iweze kupiga hatua za haraka za maendeleo kiuchumi na kijamii kwa watu wake,” External link

mtanzania Thursday, October 24, 2019 2:21:00 PM EAT

Philip Mangula alisema ( about Mwalimu Nyerere ) : “Mwalimu Nyerere kwa jinsi alivyopenda na kuthamini elimu alihakikisha siyo wananchi wa kawaida pekee wanaridhishwa, bali hata viongozi walifundishwa na kujengewa uwezo,” External link

mwananchi Wednesday, October 16, 2019 10:39:00 AM EAT

Philip Mangula alisema : “mwenyekiti tofauti ipo. Kama nilivyosema Mwalimu aliamini katika masomo kwa viongozi, kwa sasa hawaendi masomoni. Kwa hiyo kila mtu anaenda kwa utaratibu wake, anabuni mwenyewe namna ya kuendesha shughuli zake, hakuna utaratibu wa pamoja wa namna ya kuchukua mafunzo” External link

Philip Mangula alisema : “Moja, alikuwa ana jitihada za kujenga utaifa maana shule zilikuwepo za wazungu, Waasia na tuligawanywa katika makundi kwa wanafunzi waliomaliza shule mbalimbali. Akaamua hapana hebu tuondoe hii, akataifisha zile shule zote zikawa za Taifa, wote wanatoka popote wanaenda kusoma popote,” External link

Philip Mangula amesema : “Moja alikuwa ana jitihada za kujenga utaifa maana shule zilikuwepo za Wazungu, Waasia na tuligawanywa katika makundi kwa wanafunzi waliomaliza shule mbalimbali, akaamua hapana hebu tuondoe hii, akataifisha zile shule zote zikawa za Taifa, wote wanatoka popote wanaenda kusoma popote,” External link

mwananchi Monday, October 14, 2019 5:01:00 PM EAT

Philip Mangula amesema : “Alikuwa anasema msiwafundishe tu nadharia viongozi waende wakakae vijijini, hivyo walikuwa wanaenda vijijini wanakaa mwezi mzima na wananchi,” External link

Philip Mangula alisema : “Mahusiano kati ya nchi hizi mbili yamejengwa kufuatana na misingi ya uwazi, kutoingilia masuala ya ndani ya kila nchi, heshima na maelewano nan chi zote zinategemeana na zinapaswa kufanya kazi kwa pamoja kwa kutumia uimara wao na fursa zilizopo,” External link

habarileo Sunday, October 13, 2019 1:08:00 PM EAT

Philip Mangula alisema ( about Tanzania Bara ) : “Alikuwa mpiganaji aliyejali taifa lake, katika uongozi wake pia hawezi kusahaulika kwa mambo aliyoyafanya kwa ajili ya maendeleo ya Bara la Afrika, hakupenda kuona wananchi wakionewa zaidi alisimama kuhakikisha Waafrika wote wanakuwa na misingi sawa ya haki na kutobughudhiwa kutokana na uonevu wa mabeberu,” External link

habarileo Saturday, September 7, 2019 12:21:00 PM EAT

Philip Mangula alisema : “Natoa maelekezo kuwa mtu yeyote atakayebainika kuanza kujipenyeza kwenye majimbo kuanza kufanya kampeni ya kuwania nafasi hizo za uongozi hatutamwonea huruma, tunamchukulia hatua za kinidhamu,” External link

mtanzania Thursday, July 25, 2019 4:54:00 PM EAT

Philip Mangula alisema : “Kuna umuhimu mkubwa wa kutoa elimu hii walau mgombea aweze kupata zaidi ya asilimia 40 kuliko kuwa chini ya hapo,” External link

Philip Mangula amesema : “Mwanafunzi anasoma kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari, kidato cha tano na cha sita lakini hana ujuzi hivyo ni vyema akijiunga na akitoka hapa anakuwa na ujuzi wake tosha kabisa wa kuweza kujiajiri mwenyewe,” External link

mtanzania Friday, July 12, 2019 6:15:00 PM EAT

Philip Mangula alisema : “Tumeona mafanikio mengi mnayojivunia kama vile afya na maji kwa kuyatangaza kwenye Serikali ya kijiji, hayo ndiyo maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali ya Mitaa,” External link

mtanzania Thursday, January 3, 2019 11:27:00 AM EAT

Philip Mangula alisema ( about Rais Magufuli ) : “Katika mkutano Mkuu wa mwaka 2012 ambao ndio ulinichagua kuwa makamu mwenyekiti na nikapata uenyekiti wa kamati ya maadili, tuliazimia kuchukua hatua haraka kwa viongozi wala rushwa na ndio kazi anayofanya Rais Magufuli,” External link

mtanzania Saturday, October 15, 2016 11:51:00 AM EAT

Philip Mangula said : "I advise them to participate effectively in the parliament sessions especially in this time where the national budget is ongoing because the sessions are un-repeated," External link

allafrica Tuesday, June 21, 2016 1:51:00 PM EAT

Philip Mangula alisema : “Kutoka ndani ya Bunge si njia ya kutatua tatizo kwa kuwa ndani ya vikao hivyo ndipo zinapojadiliwa changamoto za majimbo yao ambayo yote yanatemegea bajeti kuu” External link

mtanzania Tuesday, June 21, 2016 9:34:00 AM EAT

Philip Mangula alisema : “Siasa ina muda na wakati wake…tulifanya siasa za majukwaani wakati wa kampeni na uchaguzi na ule ulikua wakati wake lakini hivi sasa kuna Bunge ambalo linajadili suala muhimu la bajeti ya Serikali halafu mtu badala ya kukaa bungeni atoe mchango wa kujenga na kuboresha anataka kwenda kusimama kwenye majukwaa, suala ambalo halitasaidia kitu,” External link

mtanzania Friday, June 17, 2016 10:09:00 AM EAT

Philip Mangula alisema ( about Sisi ) : “Tatizo lililosababisha kuchelewa kuanza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ni vifaa. Sisi kama TCD na kwa bahati nzuri mimi ni mwenyekiti wake tulishakutana na NEC na kuishauri mambo ya msingi na sisi hatupendi tume ndiyo iwe chanzo cha migogoro lakini nadhani kilichosababisha hili ni uwezo mdogo tu wa tume katika kulimudu hili,” External link

mwananchi Sunday, February 22, 2015 10:46:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
chairman83.33%EN11/11/201611/11/2016
secretary-general16.67%EN12/18/200518/12/2005
Names Lang Count
Philip MangulaEN50.00%
Philip MangulaSW42.16%
Phillip MangulaSW7.84%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Saturday, March 28, 2020

9:35:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Lazaro Mambosasa alisema ( about Philip Mangula ) : “Bado tunaendelea na uchunguzi wa tukio la kulishwa sumu kwa Mangula na msitarajie kuwa kuna siku tutaeleza uchunguzi huo mbele yenu,” External link

mtanzania Monday, March 16, 2020 10:15:00 AM EAT

Lazaro Mambosasa said ( about Philip Mangula ) : “On February 28, the Police force in Dar es Salaam received reports that the deputy Chairman CCM Phillip Mangula had been poisoned while attending the party’s meeting at party’s headquarters,” External link

theCitizen Tuesday, March 10, 2020 11:18:00 AM EAT

Lazaro Mambosasa amesema ( about Philip Mangula ) : “Mnamo tarehe 28, Februari mwaka huu, Mzee Mangula alidondoka ghafla Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba mara baada ya kumaliza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Taifa ya CCM, iliyokuwa ikijadili mambo mbalimbali, ikiwemo suala la adhabu ya wanachama watatu waliokuwa na tuhuma za ukiukwaji wa maadili ndani ya chama hicho,” External link

habarileo Tuesday, March 10, 2020 8:18:00 AM EAT

theCitizen Monday, March 9, 2020 6:58:00 PM EAT

Lazaro Mambosasa amesema ( about Philip Mangula ) : “Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama na taasisi mbalimbali baada ya kufanya uchunguzi walibaini kwenye mwili wa Mangula kulikuwa na sumu,” External link

mwananchi Monday, March 9, 2020 6:01:00 PM EAT

Rais Dk alisema ( about Philip Mangula ) : “Kamati Kuu itakaa mwishoni mwa wiki hii ili kupokea taarifa ya Mangula (Philip), hivyo wiki hii wakati vikao vikianza kamati hizo mbili kuu na ndogo ya nidhamu na maadili zitakaa,” External link

mtanzania Wednesday, February 26, 2020 3:07:00 PM EAT

Rais Magufuli anaongeza ( about Philip Mangula ) : “Amehangaika sana, ameenda hadi kwa Mzee Mangula [Philip Mangula], amefika mpaka kwa Mama Nyerere, amehangaika kweli lakini baadaye Ni katika hiyohiyo kwamba sisi tumeumbwa katika kusamehe. Na leo umemuona asubuhi amekuja hapa, nikaona siwezi kumzuia kuniona, kikubwa anachozungumza ni ‘naomba Baba unisamehe,” External link

habarileo Wednesday, October 9, 2019 1:28:00 PM EAT

AfricaBrief