Frederick Sumaye

Last updated on 2017-08-19T15:05+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Frederick Sumaye alisema : “Alikuwa anajua kazi yake na alikuwa akitumia weledi wake kupigania maendeleo ya siasa na mambo mengine mazuri, alikuwa anajua anachokifanya, hakika ameacha pengo,” External link

habarileo Wednesday, June 16, 2021 10:45:00 AM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Baada ya kuhangaika na hawa jamaa zangu, nikaona kwa kweli nabeba maji kwa gunia, faida pekee ni kuloana mgongo tu,” External link

mtanzania Tuesday, February 11, 2020 9:11:00 AM EAT

Frederick Sumaye amesema : “Huwezi kutoa mchango kama hauna mahali na ukiutoa barabarani watu watakushambulia, nikaona mimi sio wa hadhi ya kufika kudharauliwa. Nikasema ngoja nirudi kwenye chama changu kilichonilea, kunikuza hadi nilipofika na kujivunia kuwa nina mchango katika Taifa hili,” External link

mwananchi Monday, February 10, 2020 4:43:00 PM EAT

Frederick Sumaye amesema : “Nimekuja huku tujenge chama chetu na nchi, kama kuna dosari za hapa na pale nitakuwa na sehemu ya kusemea na nitawashauri viongozi akiwamo katibu mkuu. Nikiwa ndani ya chama nina nafasi kubwa ya kutoa mchango wangu, naomba mnipokee ndugu zangu,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Nipo huru kutumika na cha-ma chochote ikiwa ni pamoja na Chadema kwa kutoa ushauri na kadhalika,” External link

mwananchi Friday, December 6, 2019 5:40:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Niko huru kutumika na chama chochote ikiwa ni pamoja na Chadema kwa kutoa ushauri nakadhalika,” External link

mwananchi Thursday, December 5, 2019 6:34:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Nongwa ilikuja baada ya mimi kuamua kuchukua fomu ya kugombea kiti cha taifa. Pamoja ni haki yangu kwa katiba ya chama chetu, lakini nilikuwa na lengo la kuondoa hisia ambayo imejengeka sana katika jamii ndani ya Chadema hakuna demokrasia ya kweli,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Kwa bahati nzuri alipokuwa Arusha kwenye mkutano wa kanda, Mwenyekiti Mbowe (Freeman) alishatutahadharisha kuwa sumu haionjwi kwa ulimi, kwa hiyo na mimi siko tayari kuonja sumu kwa ulimi,” External link

mtanzania Thursday, December 5, 2019 2:23:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Inabidi leo (jana) nitangaze kuwa hiyo safari ya kugombea uenyekiti ngazi ya taifa naisitisha rasmi kwa usalama wangu, usalama wa wanachama na wa chama chenyewe,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Kumbe mimi ndiyo nilikuwa nimekosea sana kufikiri hivyo. Pamoja na nia hiyo njema, badala ya busara kutumika hata kama tungetaka kumlinda Mbowe wetu, njia za ovyo ndizo zilizotumika,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Kwa bahati mbaya sana ndivyo ilivyotokea. Na hivyo hivyo waliowahi kujaribu kuwania hiyo nafasi huko nyuma yamewakuta kama haya na labda mengine mabaya zaidi,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Jambo hili limeamsha tena hasira zilizokuwa zimetulia dhidi yangu kutoka marafiki zangu na familia yangu, kutokana na kitendo hiki kilichotokea kwa kutengenezwa na kuongozwa na baadhi ya viongozi wa juu wa chama cha Chadema,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Mbowe najua utakuwa mwenyekiti wetu wa chama. Hilo kundi lako linalojidai ndiyo ’cabinet’ yako ya ndani usipoliangalia litakuvunjia chama,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Naamini Chadema ikiweza kusikiliza ushauri mzuri na kubadili utaratibu fulani fulani wa namna ya kuendesha mambo ya chama, bado ni chama tunachoweza kukitegemea kutufikisha katika malengo makuu ya taifa letu,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Nilifanyiwa figisu uchaguzi wa kanda ya Pwani, kwani wajumbe walifichwa hotelini na kulipwa posho ili nishindwe,” External link

habarileo Wednesday, December 4, 2019 9:55:00 PM EAT

Frederick Sumaye alieleza ( about Chama Cha ) : “Sitoki CCM kwa sababu nina hasira na CCM au sikuchaguliwa au sikuteuliwa kugombea; na wala sitoki CCM ili kudhoofisha Chama Cha Mapinduzi badala yake nakiimarisha” External link

Frederick Sumaye amesema : "Nawapenda sana wana Chadema nina imani kubwa sana na nyinyi ninawashukuru kwa ushirikiano mlionipa. Najua wengi wataumia lakini sina jinsi, wengi mtaumia kwa viongozi wenu wa kanda waliofanya haya na mimi nimewasamehe," External link

mwananchi Wednesday, December 4, 2019 12:49:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Ni kweli nimechukua fomu lakini sijaijaza wala kuirudisha kilichonishawishi kuchukua ni kutaka kuionyesha dunia ndani ya Chadema kuna demokrasia,” External link

mwananchi Saturday, November 30, 2019 4:50:00 PM EAT

Frederick Sumaye amesema : "Nilitamani ningekuwa na mtu wa kumpongeza, kazi yangu ya ofisi imeisha niwashukuru wote walionipa kura na wale ambao hawajanipa kura," External link

mwananchi Thursday, November 28, 2019 9:25:00 PM EAT

mwananchi Thursday, November 28, 2019 7:36:00 PM EAT

Frederick Sumaye amesema : “Lakini pia CAG akiikagua Serikali na akaona kuna mahesabu hayajakaa sawa, Bunge halitaweza kuisimamia vizuri Serikali kwa kuihoji mahala zilipokwenda pesa,” External link

jamiiforums Wednesday, April 3, 2019 12:04:00 AM EAT

Frederick Sumaye alisema ( about Edward Lowassa ) : “Nilikwenda kwa sababu ya kutaka kuimarisha upinzani ili kujenga demokrasia ya kweli nchini. Lowassa alikuja na watu kama 10 hivi au zaidi sina takwimu,” External link

mwananchi Wednesday, March 6, 2019 12:43:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Mimi haunipi shida. Mtu akiamua kuhama chama kwenda kingine ni uamuzi wake,” External link

mwananchi Saturday, March 2, 2019 9:30:00 AM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Kama kaamua acha aende, sisi tutaendelea kujenga chama na hicho unachokisema cha kuhama ni ndoto ambayo haipo,” External link

Frederick Sumaye alisema : “It will never happen" (haiwezi kutokea). Na Tausi Mbowe, Mwananchi Neno la Sumaye baada ya Lowassa kurejea CCM Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye ameeleza maoni yake baada ya kusikia Edward Lowassa kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM). Sumaye amesema "Mimi haunipi shida, mtu akiamua kuhama chama na kwenda kingine ni uamuzi wake,” External link

jamiiforums Saturday, March 2, 2019 5:47:00 AM EAT

jamiiforums Saturday, March 2, 2019 4:05:00 AM EAT

jamiiforums Saturday, March 2, 2019 2:21:00 AM EAT

Frederick Sumaye amesema ( about Frederick Sumaye ) : "Mimi haunipi shida, mtu akiamua kuhama chama na kwenda kingine ni uamuzi wake,” alisema Sumaye. " External link

Frederick Sumaye alisema : “Taifa limepata pigo kubwa kwenye msiba huu, kwa sababu aliweza kutumia nafasi yake ili kuwasaidia vijana waweze kutumia fursa zilizopo na kuzifanyia kazi,” External link

mtanzania Friday, March 1, 2019 12:16:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Sijamsikia, lakini kama atapitishwa na chama sioni tatizo, kwa sababu kila chama kina utaratibu wake wa kuwapata wagombea na ni lazima ufuatwe,” External link

mwananchi Friday, December 28, 2018 9:16:00 AM EAT

Frederick Sumaye amesema : “Iringa wanaendelea na michango hiyo na tutandelea kuongeza nguvu ya mawakili. Tunaguswa sana na matatizo yanayotupata na tunaendelea kushiri” External link

mtanzania Monday, December 24, 2018 4:31:00 PM EAT

Frederick Sumaye amesema : “Kama Serikali yetu ni sikivu iuondoe huu muswada kwa sababu inaua demokrasia ya vyama vingi ambayo imeainishwa kwenye katiba,” External link

mwananchi Monday, December 24, 2018 2:36:00 PM EAT

Frederick Sumaye amesema : “Tangu uchaguzi ufanyike (mwaka 2015) muda mrefu umepita kuna watu wamekuwa na sifa za kupiga kura, tunaomba kazi hii ya kuboresha daftari kwa kuwaingiza ifanyike mapema,” External link

Frederick Sumaye alisema : “Tunapojiandaa na uchaguzi tufikirie masilahi mapana ya chama na ya wananchi, ugonjwa mkubwa niliouona ndani ya chama chetu ni miongoni (mwa watu) kufikiria masilahi yao binafsi jambo ambalo halitakiwi” External link

mwananchi Tuesday, December 18, 2018 10:13:00 AM EAT

Frederick Sumaye wrote : "I have received a letter informing me that my 326 acre farm has been taken away by the president and I am not allowed to set my foot there," External link

reuters-en Thursday, August 17, 2017 4:24:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Jambo hili lingekuwa wazi tujue jinsi wanavyofanya kazi na kwamba wamefanikiwa au la … kama jambo hili lilianza kwa uwazi basi liishie na uwazi pia” External link

mtanzania Wednesday, August 2, 2017 10:11:00 AM EAT

Frederick Sumaye amesema ( about Rais Magufuli ) : “Unataka nieleze nini wakati umeniambia Rais (Magufuli) amebatilisha. Ila niseme tu nikirudi Dar es Salaam nitalifuatilia na kuchukua hatua zinazostahiki” External link

mwananchi Sunday, November 27, 2016 5:13:00 AM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Nimekuja hapa kwa sababu mbili; moja nilifanya kazi na Mungai nikiwa waziri mkuu na yeye akiwa waziri wa elimu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Mungai alikuwa mmoja wa viongozi waliopenda kutenda haki, alikuwa akiona jambo anakuja kutoa ushauri hata kama lilikuwa na masilahi kwa chama cha upinzani,” External link

mwananchi Sunday, November 13, 2016 12:17:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Lazima kuwe na vyama viwili vikubwa na tuwe na chama kikubwa kitakachokuwa kinashindana na CCM si kuwe na chama kikubwa kimoja tu na hii habari ya kung’ang’ania chama kimoja haiwezi kukuza demokrasia,” External link

mtanzania Friday, July 15, 2016 10:51:00 AM EAT

Frederick Sumaye alisema : “Nawashukuru kwa kunichangia Sh milioni moja ya kunichukulua fomu, najua mmefanya hivi kwa upendo wenu wala si kwa ubaya nami nasema nimekubali ombi lenu, pia naomba mnipigie kura msiishie hapa,” External link

mtanzania Thursday, July 14, 2016 9:37:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
prime minister44.12%EN08/18/201718/08/2017
minister26.47%EN08/18/201718/08/2017
naibu8.82%SW02/17/201517/02/2015
waziri8.82%SW09/08/201408/09/2014
waziri wa mambo ya nje11.76%SW02/20/201420/02/2014
Names Lang Count
Frederick SumayeSW64.18%
Frederick SumayeEN35.82%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Thursday, June 30, 2022

11:19:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

AfricaBrief