Fredrick Mwakalebela

Last updated on 2008-02-05T10:52+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Fredrick Mwakalebela said : "He was a talented player, well disciplined and always worked hard on the pitch to help the team emerge winners. Throughout his stay at the club, he never had any indiscipline case reported against him. It is a big loss to all of us," External link

allafrica Friday, February 18, 2022 3:30:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Lakini suala la wahusika wengine pembeni wanalizingumza kwa haraka na kulitolea majibu kwa haraka na linaisha, pamoja na hivyo Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji iliyosikiliza shauri ilisema Morrison arudishe fedha kwenye Klabu ya Yanga lakini hadi leo hatujaitwa kuthibitisha,” External link

habarileo Saturday, February 20, 2021 5:51:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Mfano hai mchezo wa juzi dhidi ya Kagera Sugar ulioisha kwa sare ya 3-3, tulipoteza pointi mbili kwa kuonewa, tulinyimwa penalti mbili za wazi ilipatikana baada ya mchezaji wetu kuangushwa eneo la hatari na nyingine mchezaji wa Kagera alizuia mpira kwa mkono lakini waamuzi waliochezesha mchezo ule walitunyima tunajiuliza maswali tumewakosea nini waamuzi,” External link

Fredrick Mwakalebela alisema : “Tumekuwa tukipigwa faini ya fedha nyingi na kutuambia mashabiki wetu wajifunze sasa tunajiuliza maswali hatutakiwi kushiriki kwenye mashindano haya au kunabingwa kaandaliwa msimu huu,?” External link

Fredrick Mwakalebela alisema : “Mfikirwa ameanza majukumu yake leo(jana) na mgeni katika kuongoza klabu kubwa kama Yanga, uongozi tunaahidi kumpa ushirikiano wa kutosha, lengo ni kuipa maendeleo klabu yetu.” External link

mtanzania Saturday, November 21, 2020 8:03:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema ( about Tanzania Bara ) : “Yanga tuliwasilisha malalamiko TFF kuhusu tuhuma za rushwa za Kabwili aliyekuwa akishawishiwa na viongozi wa timu pinzani ili kuihujumu timu yetu, na hili tulilipeleka pia Takukuru (Taasisia ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa) lakini TFF kama baba wa mpira hapa Tanzania wamekaa kimnya hadi sasa,” External link

Fredrick Mwakalebela alisema : "Hatuna matatizo na TFF, ila tunachokiomba kesi yetu tuliyowapelekea isikilizwe mapema kabla ya dirisha dogo kufunguliwa kwa sababu Simba wanaweza kutumia nafasi hiyo kurekebisha kasoro zilizojitokeza kwenye mkataba huo," External link

habarileo Saturday, November 21, 2020 11:36:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : "Kupitia kesi ya Kabwili tunaishukuru Taasisi ya Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kuwapatia majibu baada ya kufanya uchunguzi sasa tunawaomba TFF nao wafanye hivyo Ili haki itendeke," External link

Fredrick Mwakalebela alisema : “Sasa mzigo umefika tunawaomba wanachama na mashabiki kujitokeza kununua kwa wingi ili kwenye michezo inayokuja wapendeze wanapoenda kuishangilia timu yetu uwanjani.” External link

habarileo Saturday, September 12, 2020 7:53:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela said : “He is a professional with considerable experiences in the football matters in Africa,” External link

theCitizen Thursday, September 10, 2020 12:30:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Kesho (jana) mchezaji wetu tuliyemsajili kutoka Burkina Faso, Yacouba atawasili kwenye uwanja wa ndege, mashabiki wetu kama ilivyokuwa kawaida wajitokeze kwa wingi majira ya mchana tutakuwa na jambo letu,” External link

habarileo Friday, August 28, 2020 9:18:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema ( about Rais Magufuli ) : “Sisi tumelipokea tamko la Rais Magufuli vizuri na tuko tayari kwa mapambano, tunawasubiri TFF waseme lini tunaanza ili tujipange rasmi ila wachezaji wetu wanaendelea na mazoezi kama walivyoelekezwa,” External link

habarileo Wednesday, May 6, 2020 12:26:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Nina ahidi jambo hili halitajitokeza tena, nadhani utani nilioufanya ulivuka mipaka, naomba jambo hili limalizike na tuendelee na urafiki wetu kama kawaida,” External link

mtanzania Wednesday, April 15, 2020 2:59:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha Simba na wanachama wa Yanga kuhusu kauli yangu ya kutaka kumsajili Clatous Chama, nilikuwa nafanya utani kama wao walivyofanya kwa Tshishimbi ila kiukweli mchezaji huyo sijazungumza nae. Nilizidisha utani na naahidi jambo hili halitojitokeza tena,” External link

habarileo Wednesday, April 15, 2020 12:14:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Watu wanasema kocha huyu hakai muda mrefu, lakini wajue timu alizopitia hazina historia kubwa kama Yanga, pia alipofika Zanzibar siku ya kwanza, aliona jinsi gani watu wa Yanga walivyokuwa na hamasa na timu yao, hii ni itakuwa moja ya sababu moja wapo ya kudumu naye na kufanya vizuri,” External link

mtanzania Tuesday, January 14, 2020 12:48:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Kikubwa kwa sasa tunasubiri tukutanane naye tufanye majumuhisho tumlipe chake kwa sababu sio ugovi na wala sio shari tunajua alitufanyia kazi tutamlipa wala hakuna mashaka yoyote,” External link

habarileo Friday, November 29, 2019 11:56:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu lakini nafasi ya kufanya vizuri ipo, Watanzania wazidi kutuombea,” External link

mtanzania Saturday, November 2, 2019 1:33:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Mipango lazima iwepo ya nje na ndani ya uwanja na haitaweza kufanikiwa ikiwa tutachelewa kufika Zambia. Mimi nitatangulia ili kuweka mambo sawa,” External link

mtanzania Tuesday, September 17, 2019 11:43:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Katika kuhakikisha kikosi chetu kinajiandaa kwa mchezo wa marudiana tumeona iende kuweka kambi Kilimanjaro na kimeondoka leo asubui (jana) na kikosi chote kipo fiti na wachezaji Juma Abdul na Kelvin Yondani watakuwa sehemu ya kikosi na tunaendelea kumalizana na Vincent Dante kuhakikisha anakuwa sehemu ya kikosi,” External link

habarileo Wednesday, August 14, 2019 11:10:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Siwezi kumsemea sana kwa vile wananchi hawajamuona lakini hiki ni kisu hatari, kitafunga mabao mengi sana, chamsingi tusubiri tuone kazi yake,” External link

mtanzania Monday, August 5, 2019 10:15:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela said : “Most of the preparations are complete as the day would be spiced up with lots of thrilling things. It is memorable day for all team fans, members and sports stakeholders in general,” External link

theCitizen Sunday, August 4, 2019 3:17:00 PM EAT

Fredrick Mwakalebela alisema : “Mashabiki wasiwe na wasiwasi juu ya kikosi chetu, tumezingatia ubora mapema zaidi hivyo hakuna sehemu tutakapolegeza hasa katika michuano ya kimataifa, maana hata wachezaji wa ndani ambao kocha ameshawapendekeza hakuna ambaye hana sifa ya kucheza kimataifa,” External link

jamiiforums Saturday, June 8, 2019 5:47:00 PM EAT

jamiiforums Saturday, June 8, 2019 11:33:00 AM EAT

Fredrick Mwakalebela said : “We don’t expect it to be like the EPL (England Premier League) but we want to see our league is well handled,” External link

theCitizen Wednesday, December 12, 2018 10:53:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
secretary general100.00%EN02/04/200804/02/2008
Names Lang Count
Frederick MwakalebelaSW48.00%
Fredrick MwakalebelaEN28.00%
Fredrick MwakalebelaSW24.00%
Frederick MwakelebelaSW0.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Monday, May 23, 2022

11:05:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

AfricaBrief