Bernard Membe

Last updated on 2015-03-02T11:09+0300.

About this image
License: UNKNOWN

sign

Quotes... Extracted quotes from

Bernard Membe alisema : “Kifo hiki kitukumbushe kitu kimoja, kitukumbushe uhuru wa vyombo vya habari ni sawa na mbolea inayowekwa kwenye mche ili uchipue vizuri na kuzaa matunda,” External link

mtanzania Saturday, September 21, 2019 9:57:00 AM EAT

Bernard Membe alisema : “Naomba waandishi tuwe huru kuzungumza ukweli na kuibua mazito yaliyojificha ili nchi hii iweze kusonga mbele,” External link

Bernard Membe alisema : “Alikuwa huru na mzalendo aliyeandika kile alichokiamini kwa maendeleo ya nchi yake, hivyo namwita shujaa,” External link

Bernard Membe noted : “As we pay our homage to Mr Dilunga today, his body of works should remind us the key role that the media plays in any society. The media is like fertilizer; when it is applied in plants, the plants flourish,” External link

theCitizen Friday, September 20, 2019 8:57:00 AM EAT

Bernard Membe said : “We’ve really lost a great journalist, who was independent in his thinking and was fearless” External link

Bernard Membe amesema : "Bila kazi ya vyombo vya habari, serikali itakuwa dumavu, vyama vya siasa havitakuwa na afya," External link

mwananchi Thursday, September 19, 2019 4:57:00 PM EAT

Bernard Membe amesema ( about Afrika Mashariki ) : "Dilunga alishiriki mikutano yangu yote ya waandishi nikiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki," "Hata nilipomaliza muda wangu bado tuliendelea kuwasiliana. Dilunga niliyemfahamu alikuwa na msimamo, ametuachia fundisho" External link

Bernard Membe pointed out : “And if there is any justice to be done, then the court is the right place for that,” External link

theCitizen Wednesday, July 3, 2019 12:22:00 PM EAT

Bernard Membe amesema : "Napata kigugumizi mno kumjibu rafiki yangu Rostam, lakini Rostam ni mchumi na nitakutana naye nimshauri kuwa anafanya vizuri sana katika jamii ya Watanzania anapozungumzia masuala ya uchumi," External link

bbc-swahili Friday, May 17, 2019 5:07:00 PM EAT

Bernard Membe said : "From today (yesterday) at 4pm Tanzanian registered vehicles will access JKIA, while Kenya Airways will resume its normal operations of 42 flights per week," External link

allafrica Monday, March 23, 2015 2:17:00 PM EAT

Bernard Membe said : “The meeting in Namibia was very cordial, with the two heads of state emphasising the need to continue discussing openly issues affecting the brotherly and long-standing bilateral relationship that exists between Tanzania and Kenya,” External link

EastAfrican Monday, March 23, 2015 1:05:00 PM EAT

Bernard Membe alisema : “Msiba huu umegusa ukanda mzima wa Afrika Mashariki, kwetu sisi wana CCM Komba ni ishara ya upendo na mshikamano, ameondoka ghafla kama mshumaa uliuzima, hili ni pigo kwetu kwa sababu bado alikuwa na nguvu ya kuifikisha CCM kwenye ushindi,” External link

habarileo Monday, March 2, 2015 8:05:00 AM EAT

Bernard Membe noted : “Fortunately, that decision has coincided with our Five-Year Development Plan (2016-2020) with focus on industrialisation. The coincidence in itself speaks volumes about the future bilateral relations of our two countries,” External link

in2eastafrica Sunday, February 15, 2015 11:36:00 AM EAT

Bernard Membe alisema : “Nawasihi muwapuuze wanasiasa wenye mwelekeo huo... hawa ni hatari kwa umoja na upendo wetu. Tuwachague wale wenye ulimi wa upendo, unyenyekevu, utu na amani. Tumwepuke shetani na kazi zake za ufisadi, rushwa na maovu mengine,” External link

habarileo Monday, February 9, 2015 12:12:00 AM EAT

Bernard Membe alisema : “Dini na Diplomasia vinahusiana pale masuala ya amani, ulinzi na usalama yanapoguswa. Hivyo nawaomba mshiriki katika kutengeneza viongozi bora katika jamii zetu kwa misingi ya uadilifu ambao watasimamia amani na kujiepusha na vitendo viovu ikiwemo rushwa,” External link

Bernard Membe alisisitiza : “Nalipongeza kanisa lenu kwa kuwa mfano mzuri wa uvumilivu wa kidini na imani, mnaendesha mambo yenu kwa uvumilivu mkubwa na kushirikiana na dini zote na hili linatufundisha kuwa kutofautiana kwetu sio sababu tosha ya kugombana,” External link

habarileo Monday, February 9, 2015 12:12:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
minister10.47%EN09/13/201613/09/2016
tanzanian foreign affairs minister4.65%EN09/13/201613/09/2016
foreign affairs minister3.49%EN09/13/201613/09/2016
ministre tanzanien des affaires étrangères6.98%FR07/06/201606/07/2016
tanzanian foreign minister18.60%EN07/04/201604/07/2016
mbunge3.49%SW03/02/201502/03/2015
foreign minister11.63%EN01/23/201523/01/2015
mheshimiwa4.07%SW04/11/201411/04/2014
waziri2.33%SW02/20/201420/02/2014
minister of foreign affairs1.74%EN02/06/201406/02/2014
minister3.49%SL11/28/201328/11/2013
head6.98%EN09/16/201316/09/2013
observer21.51%EN08/05/201305/08/2013
canciller tanzano0.58%ES06/30/200830/06/2008
Names Lang Count
Bernard MembeSW19.15%
Bernard MembeEN18.97%
Bernard MembeFR15.21%
Bernard MembePT15.04%
Bernard MembeEU14.87%
Bernard MembeES14.87%
Bernard Kamillius MembeEN0.85%
Бернард МембеRU0.51%
Bernard Kamilius MembeFR0.34%
Bernard MembeDA0.17%
Bernard Camilus MembePT0.00%
Bernard Kamallius MembeFR0.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Sunday, January 26, 2020

1:10:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

AfricaBrief