Robert Gabriel

Last updated on 2013-07-17T22:37+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Robert Gabriel alisema : “Tunatarajia shamba hili litachangia manufaa mengi kwa mkoa na taifa letu ikiwemo kuhifadhi mazingira na uhifadhi misitu, kuzalisha malighafi ya viwandani kama nguzo, mbao na karatasi, kutoa ajira na kuchagiza shughuli za ufugaji nyuki ili tuweze kuvuna asali ambayo inahitajika sana kwa siku za hivi karibuni,” External link

habarileo Wednesday, January 27, 2021 4:21:00 AM EAT

Robert Gabriel alisema : “Baadhi yao wananiambia kwamba madereva wao wamekuwa wakikaa muda mrefu eneo la uzalishaji wakisubiri bidhaa hiyo huku wakitumia gharama kubwa ya kuishi maeneo kwa matumizi binafsi na hii ndio sababu ya kupanda kwa bidhaa hiyo,” External link

habarileo Thursday, November 19, 2020 10:49:00 AM EAT

Robert Gabriel alisema : “Ndio maana tunashukuru sana taasisi za fedha hususani benki ya NBC ambayo ndio wadhamini wakuu wa mafunzo haya. Pia, ushiriki wa taasisi nyingine kwenye mafunzo haya ikiwamo Tantrade, Tume ya Madini, TRA, Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, NSSF, GST, Sido, NEMC, TBS, Osha na NEEC, unatuhakikishia mabadiliko tunayoyatarajia kuyapata,” External link

habarileo Monday, September 21, 2020 4:06:00 AM EAT

Robert Gabriel alisema : “Yamekuwepo mageuzi makubwa kwenye sekta ya madini, kuanzia kikao cha wadau wa madini kilipokutana kwa ajili ya kuondoa baadhi ya kero, urasimu na malalamiko mbalimbali yamesaidia kwa kiwango kikubwa kuimarisha sekta hiyo,” External link

habarileo Tuesday, August 25, 2020 7:29:00 PM EAT

Robert Gabriel alisema : “Tumeboresha soko hilo, tutaweka mfumo wa kuchajia simu ili mwananchi asihangaike, kutakuwa na bucha 13 za nyama, maeneo maalumu ya kuhifadhi na kuuza samaki na kuku lengo kubwa ni kumuondoa barabarani,” External link

Robert Gabriel anasema : “Wameanza kuchimba udongo na kurekebisha eneo la uwanja la kuchezea ili kuliweka sawa. Na baada ya hapo wataliangalia eneo la majukwaa ya uwanja huo kwa kuweka paa,” External link

habarileo Monday, August 24, 2020 6:44:00 PM EAT

Robert Gabriel alisema : “Naitegemea Geita mpya mwaka 2020, nategemea kuona watu watakaotumiwa na Mungu kuleta mabadiliko ya kiuchumi watu wamjue Mungu lakini pia waibadilishe Geita kutoka kwenye viwango vya sasa na kwenda viwango vingine hii itawezekana kama tutamtafuta Mungu na kufanya kazi kwelikweli,” External link

mwananchi Wednesday, December 25, 2019 4:43:00 PM EAT

Robert Gabriel afirmou : "Estamos na mesma luta, eu e nossos familiares. No restaurante está todo mundo destruído. Eu não consegui nem retomar a minha vida, não consegui voltar para faculdade, para a drogaria, voltar a trabalhar. Estou ainda vendo o que vou fazer, tudo isso machuca muito" External link

correiobraziliense Wednesday, August 28, 2019 8:09:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
special assistant100.00%EN01/06/201706/01/2017
Names Lang Count
Robert GabrielEN70.74%
Robert GabrielFR11.35%
Robert GabrielSW9.39%
Robert GabrielPT8.52%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Saturday, February 27, 2021

6:27:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief