Joseph Warioba

Last updated on 2015-02-25T11:08+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Joseph Warioba alisema : “Tukamwambia mzee, ukienda kumwambia mzee mwenzako unamuuzia kwa shilingi moja, ataona ni ujanja, atakataa. Mzee Mwinyi akatuambia mniache niyamalize haya na mzee mwenzangu. Wakakubaliana na Mwalimu akainunua si kwa shilingi moja bali kwa fedha za kutosha, ndiyo ikarudi mikononi mwake,” External link

habarileo Sunday, April 24, 2022 7:46:00 PM EAT

Joseph Warioba amesema : "Pamoja na kwamba alikuwa mtoto wa rais, Rosemary alikuwa na uwezo wa kuishi na mtu yoyote" External link

habarileo Saturday, January 2, 2021 7:12:00 PM EAT

Joseph Warioba anaeleza ( about Mwalimu Nyerere ) : “Viongozi wengi walishughulikia rushwa na hasa mwasisi wa taifa hili. Mwalimu alikuwa havumilii vitendo vya rushwa. Alikuwa havumilii watu wanaojihusisha na rushwa. Nakumbuka siku za mwisho bado alikuwa anazungumza kwa nguvu sana kuhusu rushwa. Mwaka 1995 alipozungumzia nyufa, moja ya nyufa alizozungumzia ni rushwa,” External link

mwananchi Monday, October 19, 2020 6:00:00 PM EAT

Joseph Warioba said : “Trading words is very dangerous. I have communicated with all of them (CUF) yesterday (January 24). I have also communicated with the government, which I have asked to do whatever it can to allow and watch the demonstrations to avoid effects on people and damages to their properties. I have not received any response,” External link

theCitizen Monday, June 15, 2020 5:00:00 PM EAT

theCitizen Monday, June 15, 2020 4:29:00 PM EAT

Joseph Warioba amehoji : “Kwa nini sasa kuna mtindo wa kutoa vikwazo ndipo majadiliano yafuate? Marekani inatoa vikwazo kwa Korea Kusini kisha anasema njoo tujadiliane. Anatoa vikwazo kwa Iran na kusema njoo tujadiliane,” External link

mwananchi Friday, October 25, 2019 4:18:00 PM EAT

Joseph Warioba amesema : “Yeye na waasisi Abeid Aman Karume (Rais wa kwanza wa Zanzibar) wenzake walijenga umoja, mshikamano pamoja na kuunda muungano na kujenga Taifa lenye amani bila ubaguzi. Mwalimu alikuwa mwadilifu, mcha Mungu, mzalendo na mwenye nidhamu ya hali ya hali juu,” External link

mwananchi Friday, September 6, 2019 7:24:00 PM EAT

Joseph Warioba amesema ( about Mwalimu Nyerere ) : “Haya mambo hakuyabuni bali ni ya msingi kwa maisha, binadamu wakati wote na dunia nzima. Mwalimu alichofanya ni kutuachia urithi wa kuyaenzi,” External link

Joseph Warioba alisema : “Nimesema sisi katika mazungumzo haya hatumo” External link

mwananchi Thursday, May 16, 2019 7:00:00 PM EAT

Joseph Warioba anasema ( about Francis Nyalali ) : “Nakumbuka walipotoka, Nyalali alikuwa mwenye furaha na alinipita, akasahau kama mimi ndiyo niliyempeleka kwa Mwalimu,” External link

mwananchi Wednesday, April 17, 2019 3:08:00 PM EAT

Joseph Warioba amesema ( about Francis Nyalali ) : “Kuna wakati Jaji Nyalali alipendekeza majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa waondolewe kazini. Alitoa mapendekezo yake kwa Rais, timu maalumu ikakaa kushughulikia madai yake, baadaye majaji wawili walijiuzulu na mmoja aliachishwa,” External link

mwananchi Wednesday, April 3, 2019 6:07:00 PM EAT

Joseph Warioba alisema ( about Mwalimu Nyerere ) : "Leo Mwalimu angekuwapo angekubali watu wafungue akaunti nje ya nchi, angekubali watu wapewe zawadi wakae nazo… nikasema huyo wao siyo Mwalimu, Mwalimu alikuwa ni mtu mwenye uwezo wa kufanya uamuzi mgumu hata unaomhusu yeye," External link

jamiiforums Sunday, January 20, 2019 11:25:00 PM EAT

Joseph Warioba anasema : “Nchi haiwezi kuendeshwa kwa huyu kuongea hiki, huyu naye anamjibu kupitia vyombo vya habari, hapana, hawa watu wakae wazungumze” External link

mtanzania Sunday, October 29, 2017 3:40:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
jaji83.21%SW02/05/201705/02/2017
minister1.00%EN12/05/201605/12/2016
prime minister0.75%EN12/05/201605/12/2016
judge7.77%EN11/07/201607/11/2016
attorney general0.25%EN06/12/201612/06/2016
retired judge1.75%EN05/18/201618/05/2016
justice0.75%EN02/23/201523/02/2015
ministre0.75%FR09/10/201410/09/2014
chairman2.26%EN04/12/201412/04/2014
constitutional review commission chairman1.50%EN04/07/201407/04/2014
Names Lang Count
Joseph WariobaSW55.70%
Joseph WariobaEN44.30%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Thursday, June 30, 2022

10:00:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

AfricaBrief

Joseph Warioba

Last updated on 2015-02-25T11:08+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Joseph Warioba alisema : “Tukamwambia mzee, ukienda kumwambia mzee mwenzako unamuuzia kwa shilingi moja, ataona ni ujanja, atakataa. Mzee Mwinyi akatuambia mniache niyamalize haya na mzee mwenzangu. Wakakubaliana na Mwalimu akainunua si kwa shilingi moja bali kwa fedha za kutosha, ndiyo ikarudi mikononi mwake,” External link

habarileo Sunday, April 24, 2022 7:46:00 PM EAT

Joseph Warioba amesema : "Pamoja na kwamba alikuwa mtoto wa rais, Rosemary alikuwa na uwezo wa kuishi na mtu yoyote" External link

habarileo Saturday, January 2, 2021 7:12:00 PM EAT

Joseph Warioba anaeleza ( about Mwalimu Nyerere ) : “Viongozi wengi walishughulikia rushwa na hasa mwasisi wa taifa hili. Mwalimu alikuwa havumilii vitendo vya rushwa. Alikuwa havumilii watu wanaojihusisha na rushwa. Nakumbuka siku za mwisho bado alikuwa anazungumza kwa nguvu sana kuhusu rushwa. Mwaka 1995 alipozungumzia nyufa, moja ya nyufa alizozungumzia ni rushwa,” External link

mwananchi Monday, October 19, 2020 6:00:00 PM EAT

Joseph Warioba said : “Trading words is very dangerous. I have communicated with all of them (CUF) yesterday (January 24). I have also communicated with the government, which I have asked to do whatever it can to allow and watch the demonstrations to avoid effects on people and damages to their properties. I have not received any response,” External link

theCitizen Monday, June 15, 2020 5:00:00 PM EAT

Joseph Warioba said : “Trading words is very dangerous. I have communicated with all of them (CUF) yesterday (January 24). I have also communicated with the government, which I have asked to do whatever it can to allow and watch the demonstrations to avoid effects on people and damages to their properties. I have not received any response,” External link

theCitizen Monday, June 15, 2020 4:29:00 PM EAT

Joseph Warioba amehoji : “Kwa nini sasa kuna mtindo wa kutoa vikwazo ndipo majadiliano yafuate? Marekani inatoa vikwazo kwa Korea Kusini kisha anasema njoo tujadiliane. Anatoa vikwazo kwa Iran na kusema njoo tujadiliane,” External link

mwananchi Friday, October 25, 2019 4:18:00 PM EAT

Joseph Warioba amesema : “Yeye na waasisi Abeid Aman Karume (Rais wa kwanza wa Zanzibar) wenzake walijenga umoja, mshikamano pamoja na kuunda muungano na kujenga Taifa lenye amani bila ubaguzi. Mwalimu alikuwa mwadilifu, mcha Mungu, mzalendo na mwenye nidhamu ya hali ya hali juu,” External link

mwananchi Friday, September 6, 2019 7:24:00 PM EAT

Joseph Warioba amesema ( about Mwalimu Nyerere ) : “Haya mambo hakuyabuni bali ni ya msingi kwa maisha, binadamu wakati wote na dunia nzima. Mwalimu alichofanya ni kutuachia urithi wa kuyaenzi,” External link

mwananchi Friday, September 6, 2019 7:24:00 PM EAT

Joseph Warioba alisema : “Nimesema sisi katika mazungumzo haya hatumo” External link

mwananchi Thursday, May 16, 2019 7:00:00 PM EAT

Joseph Warioba anasema ( about Francis Nyalali ) : “Nakumbuka walipotoka, Nyalali alikuwa mwenye furaha na alinipita, akasahau kama mimi ndiyo niliyempeleka kwa Mwalimu,” External link

mwananchi Wednesday, April 17, 2019 3:08:00 PM EAT

Joseph Warioba amesema ( about Francis Nyalali ) : “Kuna wakati Jaji Nyalali alipendekeza majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa waondolewe kazini. Alitoa mapendekezo yake kwa Rais, timu maalumu ikakaa kushughulikia madai yake, baadaye majaji wawili walijiuzulu na mmoja aliachishwa,” External link

mwananchi Wednesday, April 3, 2019 6:07:00 PM EAT

Joseph Warioba alisema ( about Mwalimu Nyerere ) : "Leo Mwalimu angekuwapo angekubali watu wafungue akaunti nje ya nchi, angekubali watu wapewe zawadi wakae nazo&#8230; nikasema huyo wao siyo Mwalimu, Mwalimu alikuwa ni mtu mwenye uwezo wa kufanya uamuzi mgumu hata unaomhusu yeye," External link